# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # Nawe utaipaka Hapa "nawe" ya husu Musa. # sanduku la ushuhuda Sanduku ni chombo chenye amri. # madhabahu ya kufukizia uvumba "madhabahu ambayo sadaka ziliteketezwa"