sw_tn/exo/30/26.md

228 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

Nawe utaipaka

Hapa "nawe" ya husu Musa.

sanduku la ushuhuda

Sanduku ni chombo chenye amri.

madhabahu ya kufukizia uvumba

"madhabahu ambayo sadaka ziliteketezwa"