sw_tn/exo/30/11.md

20 lines
326 B
Markdown

# Utakapowahesabu wana wa Israeli
Viongozi waliwahesabu wanaume tu.
# Kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. Walihesabu wanaume tu.
# nusu shekeli
"1/2 shekeli"
# gera ishirini
"20 gera"
# miaka ishirini, au zaidi
Namba kubwa zinaongelewa kwa kuwa juu au juu ya namba ndogo.