sw_tn/exo/30/11.md

326 B

Utakapowahesabu wana wa Israeli

Viongozi waliwahesabu wanaume tu.

Kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. Walihesabu wanaume tu.

nusu shekeli

"1/2 shekeli"

gera ishirini

"20 gera"

miaka ishirini, au zaidi

Namba kubwa zinaongelewa kwa kuwa juu au juu ya namba ndogo.