# Utakapowahesabu wana wa Israeli Viongozi waliwahesabu wanaume tu. # Kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. Walihesabu wanaume tu. # nusu shekeli "1/2 shekeli" # gera ishirini "20 gera" # miaka ishirini, au zaidi Namba kubwa zinaongelewa kwa kuwa juu au juu ya namba ndogo.