sw_tn/exo/29/41.md

270 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

ni dhabihu ya kusongezwa kwangu kwa njia ya moto

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

katika vizazi vyenu vyote

"katika vizazi vyote vya uzao wenu"

hema ya kukutania

Hili ni jina lingine la maskani.