# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # ni dhabihu ya kusongezwa kwangu kwa njia ya moto Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # katika vizazi vyenu vyote "katika vizazi vyote vya uzao wenu" # hema ya kukutania Hili ni jina lingine la maskani.