sw_tn/exo/29/41.md

16 lines
270 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa.
# ni dhabihu ya kusongezwa kwangu kwa njia ya moto
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# katika vizazi vyenu vyote
"katika vizazi vyote vya uzao wenu"
# hema ya kukutania
Hili ni jina lingine la maskani.