sw_tn/exo/29/10.md

258 B
Raw Permalink Blame History

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

hema ya kukutania

Hili ni jina lingine la maskani.

Kisha utamchinja huyo ngombe

Sadaka ya ng'ombe ilikuwa ichinjwe na Musa, na sio makuhani, njiani mwa mlango, sio ndani ya hema la kukutania.