sw_tn/exo/29/10.md

12 lines
258 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa.
# hema ya kukutania
Hili ni jina lingine la maskani.
# Kisha utamchinja huyo ngombe
Sadaka ya ng'ombe ilikuwa ichinjwe na Musa, na sio makuhani, njiani mwa mlango, sio ndani ya hema la kukutania.