# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # hema ya kukutania Hili ni jina lingine la maskani. # Kisha utamchinja huyo ng’ombe Sadaka ya ng'ombe ilikuwa ichinjwe na Musa, na sio makuhani, njiani mwa mlango, sio ndani ya hema la kukutania.