sw_tn/exo/29/01.md

28 lines
443 B
Markdown

# Sasa
Neno "sasa" linaeka alama katika somo kutoka mavazi ya makuhani kwenda kutengwa kwa makuhani.
# wapaswa kufanya
Hapa "wapaswa" ya husu Musa.
# kuwatenga
"kumtenga Aruni na wana wake"
# wanitumikie
Hii ya husu Yahweh.
# mtoto wa ng'ombe dume
ng'ombe dume
# Pia chukuwa maandazi bila hamira yalio pakwa mafuta
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# mkate ... keki ... maandazi
Hivi ni aina tofauti vya vyakula vya ngano.