sw_tn/exo/29/01.md

443 B

Sasa

Neno "sasa" linaeka alama katika somo kutoka mavazi ya makuhani kwenda kutengwa kwa makuhani.

wapaswa kufanya

Hapa "wapaswa" ya husu Musa.

kuwatenga

"kumtenga Aruni na wana wake"

wanitumikie

Hii ya husu Yahweh.

mtoto wa ng'ombe dume

ng'ombe dume

Pia chukuwa maandazi bila hamira yalio pakwa mafuta

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mkate ... keki ... maandazi

Hivi ni aina tofauti vya vyakula vya ngano.