# Sasa Neno "sasa" linaeka alama katika somo kutoka mavazi ya makuhani kwenda kutengwa kwa makuhani. # wapaswa kufanya Hapa "wapaswa" ya husu Musa. # kuwatenga "kumtenga Aruni na wana wake" # wanitumikie Hii ya husu Yahweh. # mtoto wa ng'ombe dume ng'ombe dume # Pia chukuwa maandazi bila hamira yalio pakwa mafuta Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mkate ... keki ... maandazi Hivi ni aina tofauti vya vyakula vya ngano.