sw_tn/exo/28/39.md

335 B

Maelezo ya Jumla

Mungu anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

kilemba

kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa.

mshipi

Mshipi ni kipande cha kitambaa ambacho mtu anavaa kwenye kiuno chake au kwenye kifua.

kazi ya mwenye kutia taraza

Mtia taraza ni mtu anaye shona michoro kwenye kitambaa.