# Maelezo ya Jumla Mungu anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # kilemba kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa. # mshipi Mshipi ni kipande cha kitambaa ambacho mtu anavaa kwenye kiuno chake au kwenye kifua. # kazi ya mwenye kutia taraza Mtia taraza ni mtu anaye shona michoro kwenye kitambaa.