sw_tn/exo/28/36.md

442 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

kuchora juu yake, mfano wa machoro ya muhuri

"andika juu yake jinsi mtu anavyo chora kwenye muhuri"

kilemba

kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa.

Nalo litakuwa katika kipaji cha uso cha Aruni

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

alo litakuwa katika kipaji chake cha uso sikuzote

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.