# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # kuchora juu yake, mfano wa machoro ya muhuri "andika juu yake jinsi mtu anavyo chora kwenye muhuri" # kilemba kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa. # Nalo litakuwa katika kipaji cha uso cha Aruni Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # alo litakuwa katika kipaji chake cha uso sikuzote Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.