sw_tn/exo/28/36.md

20 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
# kuchora juu yake, mfano wa machoro ya muhuri
"andika juu yake jinsi mtu anavyo chora kwenye muhuri"
# kilemba
kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa.
# Nalo litakuwa katika kipaji cha uso cha Aruni
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# alo litakuwa katika kipaji chake cha uso sikuzote
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.