sw_tn/exo/28/17.md

341 B

vito

"madini ya dhamani" au "madini ya hazina"

akiki ... yaspi

Haya ni madini ya thamani.

yakuti

Hili ni jiwe la dini lenye rangi ya buluu

shohamu

Hili ni jiwe la thamani lenye miisho meupe na meusi, nyukundu au kahawia.

Vito hivyo vitakazwa ndani ya dhahabu kwa kujaa mahali pake

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.