sw_tn/exo/28/17.md

20 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vito
"madini ya dhamani" au "madini ya hazina"
# akiki ... yaspi
Haya ni madini ya thamani.
# yakuti
Hili ni jiwe la dini lenye rangi ya buluu
# shohamu
Hili ni jiwe la thamani lenye miisho meupe na meusi, nyukundu au kahawia.
# Vito hivyo vitakazwa ndani ya dhahabu kwa kujaa mahali pake
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.