# vito "madini ya dhamani" au "madini ya hazina" # akiki ... yaspi Haya ni madini ya thamani. # yakuti Hili ni jiwe la dini lenye rangi ya buluu # shohamu Hili ni jiwe la thamani lenye miisho meupe na meusi, nyukundu au kahawia. # Vito hivyo vitakazwa ndani ya dhahabu kwa kujaa mahali pake Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.