sw_tn/exo/28/10.md

16 lines
336 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
# Kwa kazi mtu mwenye kuchora mawe kama vile muhuri ichorwavyo
"Jinsi mtu anavyo chora kwenye muhuri"
# mtu mwenye kuchora
mtu anaye kata michoro kwenye vitu vigumu kama mbao, jiwe, au chuma
# vijalizo
vipande vya chuma vinavyo shikilia jiwe kwenye naivera