sw_tn/exo/28/10.md

336 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

Kwa kazi mtu mwenye kuchora mawe kama vile muhuri ichorwavyo

"Jinsi mtu anavyo chora kwenye muhuri"

mtu mwenye kuchora

mtu anaye kata michoro kwenye vitu vigumu kama mbao, jiwe, au chuma

vijalizo

vipande vya chuma vinavyo shikilia jiwe kwenye naivera