sw_tn/exo/27/09.md

20 lines
412 B
Markdown

# kutakuwa na chandarua ya nguo
Hii yaweza andikwa katika sentensi tendaji.
# chandarua ya nguo ya kitani nzuri yenye kusokotwa
chandarua ilikuwa pazia kubwa lilio tengenezwa na kitambaa
# kitani nzuri yenye kusokotwa
Hichi kilikuwa kitambaa kutokana na nyuzi mtu alizo zokota pamoja kufanya uzi mgumu.
# dhiraa mia moja
"mita 44"
# nguzo
kipande kigumu cha mbao kilicho nyooshwa na kutumika kushikilia