sw_tn/exo/27/09.md

412 B

kutakuwa na chandarua ya nguo

Hii yaweza andikwa katika sentensi tendaji.

chandarua ya nguo ya kitani nzuri yenye kusokotwa

chandarua ilikuwa pazia kubwa lilio tengenezwa na kitambaa

kitani nzuri yenye kusokotwa

Hichi kilikuwa kitambaa kutokana na nyuzi mtu alizo zokota pamoja kufanya uzi mgumu.

dhiraa mia moja

"mita 44"

nguzo

kipande kigumu cha mbao kilicho nyooshwa na kutumika kushikilia