# kutakuwa na chandarua ya nguo Hii yaweza andikwa katika sentensi tendaji. # chandarua ya nguo ya kitani nzuri yenye kusokotwa chandarua ilikuwa pazia kubwa lilio tengenezwa na kitambaa # kitani nzuri yenye kusokotwa Hichi kilikuwa kitambaa kutokana na nyuzi mtu alizo zokota pamoja kufanya uzi mgumu. # dhiraa mia moja "mita 44" # nguzo kipande kigumu cha mbao kilicho nyooshwa na kutumika kushikilia