sw_tn/exo/26/34.md

245 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

juu ya lile sanduku la ushuhuda

"kwenye chombo chenye amri"

Lile meza utaiweka upande wa kaskazini.

Hii ni meza inayo shikilia mkate unao wakilisha uwepo wa Mungu.