# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # juu ya lile sanduku la ushuhuda "kwenye chombo chenye amri" # Lile meza utaiweka upande wa kaskazini. Hii ni meza inayo shikilia mkate unao wakilisha uwepo wa Mungu.