sw_tn/exo/26/34.md

12 lines
245 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
# juu ya lile sanduku la ushuhuda
"kwenye chombo chenye amri"
# Lile meza utaiweka upande wa kaskazini.
Hii ni meza inayo shikilia mkate unao wakilisha uwepo wa Mungu.