sw_tn/exo/26/31.md

20 lines
542 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa jinsi maskani itengenezwe.
# Nawe fanya
Yahweh anazungumza na Musa, hivyo neno "nawe" la muhusu yeye. Yahweh inawezekana alitarajia Musa kumwambia mtu mwingine kufanya kazi, lakini Musa atakuwa ana wajibika kuona kuwa kazi imefanywa sahihi.
# vifungo
Vifungo vintoshea kwenye tanzi kushikilia pazia pamoja.
# nawe lete lile sanduku la ushuhuda
Sanduku la agano ni chombo linalo hifadhi amri.
# Lile pazia litawagawanyia kati ya patakatifu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.