sw_tn/exo/23/30.md

8 lines
210 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa ajili ya watu wa Israeli.
# hakika watakuwa mtego kwako
Hii ina maana ya kuabudu miungu mingine itawapeleka watu wa Israeli kwa uharibifu.