# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa ajili ya watu wa Israeli. # hakika watakuwa mtego kwako Hii ina maana ya kuabudu miungu mingine itawapeleka watu wa Israeli kwa uharibifu.