sw_tn/exo/23/30.md

210 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa ajili ya watu wa Israeli.

hakika watakuwa mtego kwako

Hii ina maana ya kuabudu miungu mingine itawapeleka watu wa Israeli kwa uharibifu.