sw_tn/exo/23/26.md

20 lines
415 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# Hakuna mwanamke atakaye kuwa tasa au mimba kuharibika katika nchi yako
Hii yaweza andikwa katika tensi chanya.
# mimba kuharibika
mimba kufika mwisho mapema na pasipo tarajia
# mavu
mdudu anaye paa na anaweza uma watu na kusababisha maumivu
# au nchi itakuwa imetelekezwa
"kwasababu hakuna atakaye kuwa anaishi nchini"