# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli. # Hakuna mwanamke atakaye kuwa tasa au mimba kuharibika katika nchi yako Hii yaweza andikwa katika tensi chanya. # mimba kuharibika mimba kufika mwisho mapema na pasipo tarajia # mavu mdudu anaye paa na anaweza uma watu na kusababisha maumivu # au nchi itakuwa imetelekezwa "kwasababu hakuna atakaye kuwa anaishi nchini"