sw_tn/exo/23/26.md

415 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Hakuna mwanamke atakaye kuwa tasa au mimba kuharibika katika nchi yako

Hii yaweza andikwa katika tensi chanya.

mimba kuharibika

mimba kufika mwisho mapema na pasipo tarajia

mavu

mdudu anaye paa na anaweza uma watu na kusababisha maumivu

au nchi itakuwa imetelekezwa

"kwasababu hakuna atakaye kuwa anaishi nchini"