sw_tn/exo/23/20.md

24 lines
457 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# Kuwa makini naye
"Msikilize"
# Husimkasirishe, kwa kuwa hatasamehe
"hukimkasirisha, hatasamehe"
# Jina langu liko kwake
Hapa "jina" la husu mamlaka ya Mungu.
# hakika ukimtii sauti yake
Hapa "sauti" ya wakilisha kile malaika anasema.
# adui kwa adui zako na mpinzani kwa wapinzani wako
Hii mistari miwili ina maana ya kitu kimoja na yana tumika kuweka mkazo.