sw_tn/exo/23/20.md

457 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Kuwa makini naye

"Msikilize"

Husimkasirishe, kwa kuwa hatasamehe

"hukimkasirisha, hatasamehe"

Jina langu liko kwake

Hapa "jina" la husu mamlaka ya Mungu.

hakika ukimtii sauti yake

Hapa "sauti" ya wakilisha kile malaika anasema.

adui kwa adui zako na mpinzani kwa wapinzani wako

Hii mistari miwili ina maana ya kitu kimoja na yana tumika kuweka mkazo.