# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli. # Kuwa makini naye "Msikilize" # Husimkasirishe, kwa kuwa hatasamehe "hukimkasirisha, hatasamehe" # Jina langu liko kwake Hapa "jina" la husu mamlaka ya Mungu. # hakika ukimtii sauti yake Hapa "sauti" ya wakilisha kile malaika anasema. # adui kwa adui zako na mpinzani kwa wapinzani wako Hii mistari miwili ina maana ya kitu kimoja na yana tumika kuweka mkazo.