sw_tn/exo/23/16.md

16 lines
311 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# Lazima uadhimishe
"Lazima uheshimu"
# Sherehe ya Ukusanyaji
Hii sherehe ya sherekewa mwishoni mwa mavuno ya mazao ya mwaka.
# Wanaume wote wako lazima wajitokeze
Hapa "kujitokeza" kuna maana ya kukusanyika kwa ibada.