# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli. # Lazima uadhimishe "Lazima uheshimu" # Sherehe ya Ukusanyaji Hii sherehe ya sherekewa mwishoni mwa mavuno ya mazao ya mwaka. # Wanaume wote wako lazima wajitokeze Hapa "kujitokeza" kuna maana ya kukusanyika kwa ibada.