sw_tn/exo/23/16.md

311 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Lazima uadhimishe

"Lazima uheshimu"

Sherehe ya Ukusanyaji

Hii sherehe ya sherekewa mwishoni mwa mavuno ya mazao ya mwaka.

Wanaume wote wako lazima wajitokeze

Hapa "kujitokeza" kuna maana ya kukusanyika kwa ibada.