sw_tn/exo/22/29.md

344 B

Husizuie sadaka

Hii yaweza andikwa katika tensi chanya.

unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako

"waweke wakfu wazaliwa wenu wa kwanza kwangu"

ufanye hivyo hivyo kwa

"niwekee wakfu wazaliwa wa kwanza wa"

Kwa siku saba

Hii yaweza andikwa kama namba

siku ya nane

Hii yaweza andikwa kama namba.

unipe mimi

"waweke wakfu kwangu"