sw_tn/exo/22/29.md

24 lines
344 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Husizuie sadaka
Hii yaweza andikwa katika tensi chanya.
# unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako
"waweke wakfu wazaliwa wenu wa kwanza kwangu"
# ufanye hivyo hivyo kwa
"niwekee wakfu wazaliwa wa kwanza wa"
# Kwa siku saba
Hii yaweza andikwa kama namba
# siku ya nane
Hii yaweza andikwa kama namba.
# unipe mimi
"waweke wakfu kwangu"