# Husizuie sadaka Hii yaweza andikwa katika tensi chanya. # unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako "waweke wakfu wazaliwa wenu wa kwanza kwangu" # ufanye hivyo hivyo kwa "niwekee wakfu wazaliwa wa kwanza wa" # Kwa siku saba Hii yaweza andikwa kama namba # siku ya nane Hii yaweza andikwa kama namba. # unipe mimi "waweke wakfu kwangu"