sw_tn/exo/22/14.md

16 lines
358 B
Markdown

# lazima afanya malipo
"lazima alipe kwa mnyama mwingine"
# kama mnyama aliazimwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# atalipwa kwa gharama ya kuazima
Aliye azima mnyama hata mlipa mmiliki zaidi ya ada au gharama ya kukodisha. Hii ada italipa kwa nyama aliye potea.
# gharama ya kuazima
"ada ya kukodisha" au "pesa iliyo lipwa kukodisha mnyama"