sw_tn/exo/22/14.md

358 B

lazima afanya malipo

"lazima alipe kwa mnyama mwingine"

kama mnyama aliazimwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

atalipwa kwa gharama ya kuazima

Aliye azima mnyama hata mlipa mmiliki zaidi ya ada au gharama ya kukodisha. Hii ada italipa kwa nyama aliye potea.

gharama ya kuazima

"ada ya kukodisha" au "pesa iliyo lipwa kukodisha mnyama"