# lazima afanya malipo "lazima alipe kwa mnyama mwingine" # kama mnyama aliazimwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # atalipwa kwa gharama ya kuazima Aliye azima mnyama hata mlipa mmiliki zaidi ya ada au gharama ya kukodisha. Hii ada italipa kwa nyama aliye potea. # gharama ya kuazima "ada ya kukodisha" au "pesa iliyo lipwa kukodisha mnyama"