sw_tn/exo/21/35.md

20 lines
379 B
Markdown

# kugawana gharama
"gawanya pesa"
# kama ilijulikana
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# tabia ya kupiga hapo awali
"kapiga wanyama wengine kabla"
# mmiliki wake hakumfunga ndani
Hii ina maana mmiliki hakumhifadhi ng'ombe kwa usalama ndani ya uzio.
# lazima alipe ng'ombe kwa ng'ombe
Mmiliki wa ng'ombe aliye ua lazima atoe ng'ombe kwa aliye poteza ng'ombe wake.